Esta 5:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mara tu mfalme alipomwona Malkia Esta akiwa amesimama kwenye ua, akafurahi kumwona, naye mfalme akamnyooshea Esta fimbo yake ya ufalme ya dhahabu+ iliyokuwa mkononi mwake. Basi Esta akakaribia na kuigusa ncha ya fimbo hiyo. Esta Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 5:2 w12 1/1 24 Esta Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:2 Igeni, uku. 135 Mnara wa Mlinzi,1/1/2012, uku. 24
2 Mara tu mfalme alipomwona Malkia Esta akiwa amesimama kwenye ua, akafurahi kumwona, naye mfalme akamnyooshea Esta fimbo yake ya ufalme ya dhahabu+ iliyokuwa mkononi mwake. Basi Esta akakaribia na kuigusa ncha ya fimbo hiyo.