-
Esta 5:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Basi Mfalme akawaambia watumishi wake: “Mwambieni Hamani aje haraka, kama Esta anavyoomba.” Basi, mfalme na Hamani wakaenda kwenye karamu ambayo Esta alikuwa ameandaa.
-