Esta 7:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Mfalme akasimama kwa hasira na kutoka kwenye karamu ya divai, akaenda kwenye bustani ya jumba la mfalme, lakini Hamani akasimama ili kumsihi Malkia Esta auokoe uhai wake,* kwa maana alijua mfalme alikuwa ameazimia kumwadhibu. Esta Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 7:7 w12 1/1 27 Esta Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7:7 Igeni, kur. 141-142 Mnara wa Mlinzi,1/1/2012, uku. 27
7 Mfalme akasimama kwa hasira na kutoka kwenye karamu ya divai, akaenda kwenye bustani ya jumba la mfalme, lakini Hamani akasimama ili kumsihi Malkia Esta auokoe uhai wake,* kwa maana alijua mfalme alikuwa ameazimia kumwadhibu.