Esta 8:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Sasa andikeni katika jina la mfalme jambo lolote mnaloona linafaa kwa niaba ya Wayahudi nanyi mlitie muhuri kwa pete ya mfalme, kwa maana agizo lililoandikwa katika jina la mfalme na kutiwa muhuri kwa pete ya mfalme haliwezi kufutwa.”+ Esta Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 8:8 Mnara wa Mlinzi,3/15/1986, uku. 22
8 Sasa andikeni katika jina la mfalme jambo lolote mnaloona linafaa kwa niaba ya Wayahudi nanyi mlitie muhuri kwa pete ya mfalme, kwa maana agizo lililoandikwa katika jina la mfalme na kutiwa muhuri kwa pete ya mfalme haliwezi kufutwa.”+