12 Mfalme akamwambia Malkia Esta: “Katika ngome ya Shushani Wayahudi wamewaua watu 500 na pia wana kumi wa Hamani. Unafikiri wamewaua watu wangapi katika mikoa mingine ya mfalme?+ Sasa una ombi gani? Utapewa unachotaka. Unataka nini kingine? Kitatimizwa.”