-
Ayubu 1:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kwa ghafla upepo mkali ukaja kutoka nyikani, ukapiga pembe nne za nyumba hiyo, ikawaangukia vijana hao, nao wakafa. Nimeponyoka mimi peke yangu, nami nimekuletea habari.”
-