Ayubu 5:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Kwa maana mawe ya shambani hayatakudhuru,*Na wanyama wa mwituni wataishi nawe kwa amani.