-
Ayubu 13:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Umeitia miguu yangu katika mikatale,
Unavichunguza kwa makini vijia vyangu vyote,
Nawe unafuata kila wayo wa mguu wangu.
-