-
Ayubu 31:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Je, nimewahi kuogopa umati utakavyotenda,
Au kutishwa na dharau za familia nyingine,
Na hivyo kukaa kimya na kuogopa kutoka nje?
-