Ayubu 32:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Niliwasikiliza kwa makini,Lakini hakuna yeyote miongoni mwenu aliyeweza kuthibitisha kwamba Ayubu amekosea*Wala kujibu hoja zake.
12 Niliwasikiliza kwa makini,Lakini hakuna yeyote miongoni mwenu aliyeweza kuthibitisha kwamba Ayubu amekosea*Wala kujibu hoja zake.