-
Ayubu 34:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Mungu akikaa kimya, ni nani anayeweza kumshutumu?
Akiuficha uso wake, ni nani anayeweza kumwona?
Iwe ni kwa taifa au mtu mmoja, matokeo ni yaleyale,
-