Zaburi 7:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 La sivyo watanirarua* vipandevipande kama simba anavyofanya,+Watanibeba na kwenda nami pasipo na yeyote wa kuniokoa.
2 La sivyo watanirarua* vipandevipande kama simba anavyofanya,+Watanibeba na kwenda nami pasipo na yeyote wa kuniokoa.