Zaburi 7:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Basi acha adui anikimbize na kunipita;*Acha aukanyagie uhai wangu ardhiniNa kuufanya utukufu wangu utokomee mavumbini. (Sela)
5 Basi acha adui anikimbize na kunipita;*Acha aukanyagie uhai wangu ardhiniNa kuufanya utukufu wangu utokomee mavumbini. (Sela)