-
Zaburi 35:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Lakini nilipojikwaa, walishangilia na kukusanyika pamoja;
Walikusanyika pamoja ili wanivizie na kuniua;
Walinirarua vipandevipande nao hawakunyamaza.
-