-
Zaburi 41:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Mmoja wao akija kuniona, moyo wake husema uwongo.
Hukusanya mambo yenye kudhuru ya kusema;
Kisha hutoka nje na kuyaeneza kotekote.
-