Zaburi 47:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Mwimbieni Mungu sifa,* mwimbieni sifa. Mwimbieni sifa Mfalme wetu, mwimbieni sifa.