Zaburi 53:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Lakini watajawa na hofu kubwa,Hofu ambayo hawajawahi kamwe kuwa nayo,*Kwa maana Mungu ataitawanya mifupa ya wale wanaowashambulia ninyi.* Mtawaaibisha, kwa maana Yehova amewakataa wao.
5 Lakini watajawa na hofu kubwa,Hofu ambayo hawajawahi kamwe kuwa nayo,*Kwa maana Mungu ataitawanya mifupa ya wale wanaowashambulia ninyi.* Mtawaaibisha, kwa maana Yehova amewakataa wao.