Zaburi 65:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Wale wanaokaa sehemu za mbali wataogopeshwa na ishara zako;+Utawafanya wale wanaoishi upande wa mashariki mpaka upande wa magharibi wapaze sauti kwa shangwe.
8 Wale wanaokaa sehemu za mbali wataogopeshwa na ishara zako;+Utawafanya wale wanaoishi upande wa mashariki mpaka upande wa magharibi wapaze sauti kwa shangwe.