Zaburi 88:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Aliyeachwa kati ya watu waliokufaKama waliouawa wanaolala kaburini,Ambao huwakumbuki tenaNa ambao wametengwa mbali na utunzaji* wako.
5 Aliyeachwa kati ya watu waliokufaKama waliouawa wanaolala kaburini,Ambao huwakumbuki tenaNa ambao wametengwa mbali na utunzaji* wako.