-
Zaburi 144:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ndipo wana wetu watakuwa kama mimea michanga inayokua haraka,
Mabinti wetu kama nguzo za pembeni zilizochongwa kwa ajili ya jumba la mfalme.
-