Mhubiri 7:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Kwa maana kicheko cha mjinga ni kama mlio wa miiba inayoteketea chini ya chungu;+ na hili pia ni ubatili. Mhubiri Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 7:6 w06 11/1 15; w96 3/15 4 Mhubiri Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7:6 Mnara wa Mlinzi,11/1/2006, uku. 153/15/1996, uku. 4
6 Kwa maana kicheko cha mjinga ni kama mlio wa miiba inayoteketea chini ya chungu;+ na hili pia ni ubatili.