-
Wimbo wa Sulemani 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 “Ikiwa hujui, ewe mwanamke mrembo kuliko wote,
Nenda ufuate nyayo za mifugo
Na uchunge wanambuzi wako karibu na mahema ya wachungaji.”
-