Wimbo wa Sulemani 2:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Mpenzi wangu ni kama swala, kama paa dume mchanga.+ Yule pale, amesimama nyuma ya ukuta wetu,Akichungulia madirishani,Akitazama kupitia viunzi vya madirisha.
9 Mpenzi wangu ni kama swala, kama paa dume mchanga.+ Yule pale, amesimama nyuma ya ukuta wetu,Akichungulia madirishani,Akitazama kupitia viunzi vya madirisha.