Wimbo wa Sulemani 3:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 “Ni nini hiki kinachokuja kutoka nyikani kama nguzo za moshi,Kilicho na manukato ya manemane na ubani,Na manukato yote ya ungaunga yanayouzwa na wafanyabiashara?”+
6 “Ni nini hiki kinachokuja kutoka nyikani kama nguzo za moshi,Kilicho na manukato ya manemane na ubani,Na manukato yote ya ungaunga yanayouzwa na wafanyabiashara?”+