-
Wimbo wa Sulemani 4:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Meno yako ni kama kundi la kondoo waliokatwa manyoya sasa hivi
Ambao wametoka kuoshwa,
Wote wamezaa mapacha,
Na hakuna yeyote aliyepoteza watoto wake.
-