-
Wimbo wa Sulemani 5:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 “Mpenzi wako ni bora kuliko wapenzi wengine wote jinsi gani,
Ewe mwanamke mrembo kuliko wote?
Mpenzi wako ni bora kuliko mpenzi mwingine yeyote jinsi gani,
Hivi kwamba unatuapisha hivyo?”
-