Wimbo wa Sulemani 5:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kichwa chake ni dhahabu, dhahabu bora zaidi. Mashungi ya nywele zake ni kama majani ya mtende yanayotikisika.* Nywele zake ni nyeusi kama kunguru. Wimbo wa Sulemani Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 5:11 g97 1/8 25 Wimbo wa Sulemani Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:11 Amkeni!,1/8/1997, uku. 25
11 Kichwa chake ni dhahabu, dhahabu bora zaidi. Mashungi ya nywele zake ni kama majani ya mtende yanayotikisika.* Nywele zake ni nyeusi kama kunguru.