Wimbo wa Sulemani 5:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Miguu yake ni nguzo za marumaru zilizowekwa kwenye vikalio vya dhahabu bora zaidi. Sura yake ni kama Lebanoni, kama mierezi isiyo na kifani.+ Wimbo wa Sulemani Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 5:15 w06 11/15 19 Wimbo wa Sulemani Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:15 Mnara wa Mlinzi,11/15/2006, uku. 19
15 Miguu yake ni nguzo za marumaru zilizowekwa kwenye vikalio vya dhahabu bora zaidi. Sura yake ni kama Lebanoni, kama mierezi isiyo na kifani.+