-
Wimbo wa Sulemani 8:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Ni nani huyu anayekuja kutoka nyikani,
Akiwa amemwegemea mpenzi wake?”
“Chini ya mtofaa nilikuamsha.
Hapo ndipo mama yako alipopata uchungu wa kukuzaa.
Hapo ndipo mama yako alipokuzaa kwa uchungu.
-