-
Wimbo wa Sulemani 8:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Nina shamba langu mwenyewe la mizabibu.
Hivyo vipande elfu moja vya fedha ni vyako, Ee Sulemani,
Na vipande mia mbili ni vya wale wanaotunza matunda ya shamba hilo.”
-