Isaya 2:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Nchi yao imejaa fedha na dhahabu,Na hazina zao hazina kikomo. Nchi yao imejaa farasi,Na magari yao hayana idadi.+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 2:7 ip-1 50 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:7 Unabii wa Isaya 1, kur. 50-51
7 Nchi yao imejaa fedha na dhahabu,Na hazina zao hazina kikomo. Nchi yao imejaa farasi,Na magari yao hayana idadi.+