-
Isaya 5:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Na wanakondoo watalisha kama katika malisho yao;
Wakaaji wageni watakula katika maeneo yenye ukiwa ya wanyama waliolishwa vizuri.
-