-
Isaya 6:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Akakigusa kinywa changu na kusema:
“Tazama! Hili limeigusa midomo yako.
Hatia yako imeondolewa,
Na dhambi yako imefunikwa.”
-