-
Isaya 7:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 “Siku hiyo mahali popote palipokuwa na mizabibu 1,000 yenye thamani ya vipande 1,000 vya fedha, patakuwa na vichaka vya miiba na magugu peke yake.
-