-
Isaya 7:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Watu wataenda huko wakiwa na mishale na upinde, kwa sababu nchi yote itakuwa vichaka vya miiba na magugu.