-
Isaya 7:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na milima yote iliyokuwa ikilimwa kwa jembe, hutaikaribia kwa kuogopa vichaka vya miiba na magugu; itakuwa mahali pa kulisha ng’ombe na mahali pa kukanyagwa na kondoo.”
-