-
Isaya 9:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Katika ghadhabu ya Yehova wa majeshi
Nchi imewashwa moto,
Na watu watakuwa kuni kwa ajili ya huo moto.
Hakuna yeyote atakayemhurumia hata ndugu yake.
-