-
Isaya 9:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Mtu atakata upande wa kulia
Lakini bado atakuwa na njaa,
Na mtu atakula upande wa kushoto
Lakini hatashiba.
Kila mtu atainyafua nyama ya mkono wake mwenyewe,
-