Isaya 10:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Nitamtuma yeye dhidi ya taifa lililoasi imani,+Dhidi ya watu walionikasirisha,Nitamwamuru achukue nyara nyingi na kupora mali nyingiNa kuzikanyaga kama matope barabarani.+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 10:6 ip-1 144-146, 152 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 10:6 Unabii wa Isaya 1, kur. 144-146, 152
6 Nitamtuma yeye dhidi ya taifa lililoasi imani,+Dhidi ya watu walionikasirisha,Nitamwamuru achukue nyara nyingi na kupora mali nyingiNa kuzikanyaga kama matope barabarani.+