-
Isaya 10:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Lakini hatataka kufanya hivyo
Na moyo wake hautapanga hila kwa njia hiyo;
Kwa maana moyo wake umeazimia kuangamiza
Kuangamiza kabisa mataifa mengi, si machache.
-