-
Isaya 10:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kama mtu anayeingiza mkono katika kiota,
Mkono wangu utateka mali za mataifa;
Na kama mtu anayekusanya mayai yaliyoachwa,
Nitaikusanya dunia nzima!
Hakuna atakayepiga mabawa yake au kufungua kinywa chake wala kunong’oneza.’”
-