-
Isaya 14:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Tayarisheni ubao wa kuwachinjia wanawe
Kwa sababu ya hatia ya mababu zao,
Ili wasiinuke na kuimiliki dunia
Na kuyajaza majiji yao katika nchi.”
-