-
Isaya 14:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Omboleza kwa sauti, ewe lango! Paza kilio, ewe jiji!
Ninyi nyote mtavunjika moyo, ewe Ufilisti!
Kwa maana moshi unakuja kutoka kaskazini,
Na hakuna wavivu katika vikosi vyake.”
-