-
Isaya 15:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kwa maana maji ya Nimrimu yamekuwa ukiwa;
Majani mabichi yamekauka,
Majani yamekwisha na hakuna chochote kibichi kilichobaki.
-