-
Isaya 16:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 “Toeni shauri, tekelezeni uamuzi.
Fanya kivuli chako cha adhuhuri kiwe kama usiku.
Wafiche waliotawanyika na usiwasaliti wale wanaokimbia.
-