Isaya 16:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Kwa maana matuta ya Heshboni+ yamenyauka. Mzabibu wa Sibma,+Watawala wa mataifa wameyakanyaga matawi yake mekundu sana;*Walikuwa wamefika mpaka Yazeri;+Walikuwa wameenea mpaka nyikani. Machipukizi yake yalikuwa yameenea mpaka baharini. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 16:8 ip-1 193 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 16:8 Unabii wa Isaya 1, uku. 193
8 Kwa maana matuta ya Heshboni+ yamenyauka. Mzabibu wa Sibma,+Watawala wa mataifa wameyakanyaga matawi yake mekundu sana;*Walikuwa wamefika mpaka Yazeri;+Walikuwa wameenea mpaka nyikani. Machipukizi yake yalikuwa yameenea mpaka baharini.