-
Isaya 17:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Sikilizeni! Kuna vurugu za watu wengi,
Walio na msukosuko kama wa bahari!
Kuna kelele za mataifa,
Ambao sauti yao ni kama mngurumo wa maji yenye nguvu!
-