Isaya 17:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mataifa yatatoa sauti kama mngurumo wa maji mengi. Atayakemea, nayo yatakimbia mbali sana,Yakifukuzwa kama makapi ya milima mbele ya upepoKama mchongoma unaopeperushwa na* upepo wa dhoruba. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 17:13 ip-1 198 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:13 Unabii wa Isaya 1, kur. 197-198
13 Mataifa yatatoa sauti kama mngurumo wa maji mengi. Atayakemea, nayo yatakimbia mbali sana,Yakifukuzwa kama makapi ya milima mbele ya upepoKama mchongoma unaopeperushwa na* upepo wa dhoruba.