-
Isaya 17:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Jioni kuna tisho la ghafla.
Kabla ya asubuhi hayapo tena.
Hilo ndilo fungu la wale wanaotupora
Na kura ya wale wanaotunyang’anya mali zetu.
-