Isaya 18:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Enyi wakaaji wote wa nchi nanyi wakaaji wa dunia,Mtakachoona kitakuwa kama ishara* iliyoinuliwa juu ya milima,Nanyi mtasikia sauti kama ya pembe inapopigwa.
3 Enyi wakaaji wote wa nchi nanyi wakaaji wa dunia,Mtakachoona kitakuwa kama ishara* iliyoinuliwa juu ya milima,Nanyi mtasikia sauti kama ya pembe inapopigwa.